Fungua mdomo kiasi cha kuonyesha meno.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mtoto alikenua meno alipokuwa akitabasamu.
Bare the teeth; open the mouth to expose the teeth.
Kitenzi
Example
The child showed his teeth while smiling.
Montrer les dents; ouvrir la bouche de façon à découvrir les dents.
Kitenzi
Exemple
L'enfant a montré ses dents en souriant.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi