Zana ya seremala ya kuzungushia kitobozi ndani ya mbao.
Nomino
Mfano wa matumizi
Seremala alitoboa ubao kwa keekee.
Carpenter's brace; a hand tool that rotates a bit to bore wood.
Nomino
Example
The carpenter bored the board with a brace.
Vilebrequin; outil manuel faisant tourner une mèche pour percer le bois.
Nomino
Exemple
Le menuisier a percé la planche avec un vilebrequin.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi