Maana 1
Kutilia jambo mkazo, nguvu, au umuhimu ili lionekane au lichukuliwe kwa uzito zaidi.
Mfano wa matumizi: Mwalimu alikazia umuhimu wa kusoma kwa bidii.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.