kazana

0

1. Tia bidii nyingi katika jambo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Wanafunzi walikazana kuandaa maonyesho ya sayansi.

2. Ongeza haraka katika kwenda.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kazaneni tufike kabla ya mvua.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →