Mhazili wa kuandika nyaraka na kupokea wageni.
Nomino
Mfano wa matumizi
Katibumahsusi aliwapangia wageni muda wa kuonana na mkuu.
Personal secretary; a clerical assistant handling documents and receiving visitors.
Nomino
Example
The personal secretary arranged appointment times for the visitors.
Secrétaire particulier; assistant chargé des documents et de l'accueil des visiteurs.
Nomino
Exemple
Le secrétaire particulier a fixé aux visiteurs des heures de rendez-vous avec le responsable.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi