kasimile

Herufi inayotumika katika mwandiko ikiwa katika umbo lake kubwa, tofauti na umbo dogo la kawaida.

Kasimile ni herufi kubwa katika mwandiko, hutofautishwa na herufi ndogo.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiingereza ‘capital letter’