1. Fanya tena jambo ulilokwisha kulifanya.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Alikariri darasa la nne mwaka uliofuata.
2. Rudia maneno au matini kwa kuzitamka tena.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wanafunzi walikariri shairi la Kiswahili.
1. Repeat; do again something already done.
Kitenzi
Example
He repeated the fourth class the following year.
2. Recite; repeat words or a learned text.
Kitenzi
Example
The pupils recited a Swahili poem.
1. Répéter; refaire une activité déjà accomplie.
Kitenzi
Exemple
Il a redoublé la quatrième classe l'année suivante.
2. Réciter; redire des paroles ou un texte appris.
Kitenzi
Exemple
Les élèves ont récité un poème swahili.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi