karagosi

0

1. Kinyago kinachochezeshwa kwa kuvutwa nyuzi.

Nomino
Mfano wa matumizi Watoto walifurahia onyesho la karagosi.

2. Mtu anayeongozwa na mwingine bila uhuru wa kuamua.

Nomino
Mfano wa matumizi Wananchi walikataa kuongozwa na karagosi wa wafanyabiashara.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →