Rekebisha kilichoharibika ili kifae kutumika tena.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mafundi wanakarabati daraja la kijiji.
Repair; restore something damaged to working condition.
Kitenzi
Example
The workers are repairing the village bridge.
Réparer; remettre en état une chose endommagée.
Kitenzi
Exemple
Les ouvriers réparent le pont du village.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi