kamwe!

0

1. Tamko la kukanusha jambo kabisa.

Kihisishi
Mfano wa matumizi Sitatoa ushahidi wa uongo kamwe.

2. Tamko la kuongeza jambo kwa msisitizo.

Kihisishi
Mfano wa matumizi Amenitukana na kumtukana ndugu yangu kamwe!
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →