kamani

0

1. Sehemu ya kunyumbuka inayoendesha mtambo.

Nomino
Mfano wa matumizi Kamani ilipovunjika, mtambo ulisimama.

2. Mitambo midogo iliyomo ndani ya saa.

Nomino
Mfano wa matumizi Fundi alifungua saa na kukagua kamani yake.

3. Kwa kiwango kikubwa sana.

Kielezi
Mfano wa matumizi Asali hii ni tamu kamani!
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →