Andazi dogo lililotiwa shira ya sukari.
Nomino
Mfano wa matumizi
Sahani ya kaimati iliwekwa mezani pamoja na chai.
Kaimati; a small fried doughnut coated in sugar syrup.
Nomino
Example
A plate of syrup-coated doughnuts was placed on the table with tea.
Beignet au sirop; petite pâtisserie frite enrobée de sirop de sucre.
Nomino
Exemple
Une assiette de beignets au sirop a été posée sur la table avec le thé.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi