kaifa

0

1. Habari zinazotoa maelezo ya jambo.

Nomino
Mfano wa matumizi Una kaifa gani kuhusu safari ya Goma?

2. Neno la kulinganisha kwa kusisitiza tofauti.

Kielezi
Mfano wa matumizi Hata mzigo mdogo sijaweza, kaifa huu mkubwa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →