Maana 1
Kijikaratasi kigumu au kipande cha plastiki chenye taarifa maalum, picha, au nambari, kinachotumiwa kwa utambulisho, malipo, au shughuli rasmi.
Mfano wa matumizi: Alionyesha kadi yake ya benki alipokuwa akilipa dukani.

Kipande cha karatasi au plastiki kinachotumiwa katika michezo ya karata au michezo mingine inayohusisha kadi.
Mfano wa matumizi: Watoto walikuwa wakicheza mchezo wa kadi mchana kutwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.