kadhongo

Mdudu mdogo anayeshambulia na kuharibu nafaka kama mahindi, mtama au mchele wakati wa kuhifadhiwa.

Kadhongo ni mdudu mdogo anayeharibu nafaka ghalani.

Maana

2 jumla