kada

0

1. Mwanachama anayetetea kwa dhati itikadi ya chama.

Nomino
Mfano wa matumizi Kada alieleza msimamo wa chama.

2. Mtu wa daraja fulani katika mpangilio wa vyeo.

Nomino
Mfano wa matumizi Mafunzo yamewahusisha viongozi wa kada tofauti.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →