kaanga

0

1. Pika chakula katika mafuta ya moto.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mpishi anakaanga samaki.

2. Ganda linalofunika ua la mnazi.

Nomino
Mfano wa matumizi Kaanga la mnazi limeanguka.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →