1. Jitupe kwa nguvu ndani ya maji.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mwogeleaji alijitumbukiza ziwani.
2. Jiingize katika jambo bila kujua kama litafanikiwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Amejitumbukiza katika biashara mpya.
1. Plunge into water; throw oneself forcefully into water.
Kitenzi
Example
The swimmer plunged into the lake.
2. Plunge into an undertaking; become involved despite uncertain prospects.
Kitenzi
Example
She has plunged into a new business.
1. Se jeter à l’eau; plonger brusquement dans l’eau.
Kitenzi
Exemple
Le nageur s’est jeté dans le lac.
2. Se lancer; s’engager malgré une issue incertaine.
Kitenzi
Exemple
Elle s’est lancée dans un nouveau commerce.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi