1. Anza kuonekana kutoka mbali.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Milima ilijitokeza baada ya mawingu kutawanyika.
2. Fika kushiriki jambo ulilotakiwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wakazi wamejitokeza kupanda miti.
1. Come into view; become visible at a distance.
Kitenzi
Example
The mountains came into view after the clouds cleared.
2. Turn up; come to take part in an activity.
Kitenzi
Example
The residents have turned up to plant trees.
1. Apparaître; devenir visible au loin.
Kitenzi
Exemple
Les montagnes sont apparues après la dissipation des nuages.
2. Se présenter; venir participer à une activité.
Kitenzi
Exemple
Les habitants se sont présentés pour planter des arbres.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi