Jiweke katika hali ya kulala ili upumzike.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wageni wamejilaza chini ya mwembe.
Lie down; place oneself in a resting position.
Kitenzi
Example
The visitors have lain down beneath the mango tree.
S’allonger; mettre son corps en position de repos.
Kitenzi
Exemple
Les visiteurs se sont allongés sous le manguier.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi