jificha

0

1. Kaa sehemu ambayo wengine hawakuoni.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mtoto amejificha nyuma ya mti.

2. Funika uso au mwili usitambulike.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alijificha uso kwa mtandio.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →