jichumia

0

1. Jipatie mali kwa juhudi zako.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Amejichumia fedha kwa ufundi.

2. Chuma matunda kwa matumizi yako.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Tumejichumia maembe shambani.

3. Tafuta mali ya kutimiza mahitaji yako.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Anafanya biashara ili ajichumie mahitaji yake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →