jamidi

0

1. Gandamana na uso wa kitu kingine.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Ugali umejamidi kwenye nguo.

2. Yenye umbo gumu na imara.

Kivumishi
Mfano wa matumizi Mti huo una mbao jamidi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →