Vazi linalomsaidia mtu kuelea majini.
Nomino
Mfano wa matumizi
Abiria wote walivaa jaketi okozi.
Life jacket; a garment that helps its wearer float.
Nomino
Example
All the passengers wore life jackets.
Gilet de sauvetage; vêtement aidant à flotter.
Nomino
Exemple
Tous les passagers portaient un gilet de sauvetage.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi