1. Bila kuficha jambo au ukweli wake.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Shahidi alieleza jahara alichokiona.
2. Kwa sauti inayosikika.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Usiongee jahara ndani ya maktaba.
1. Openly; without concealing the truth.
Kielezi
Example
The witness openly described what she saw.
2. Aloud; in an audible voice.
Kielezi
Example
Do not speak aloud in the library.
1. Ouvertement; sans cacher la vérité.
Kielezi
Exemple
Le témoin a décrit ouvertement ce qu’il avait vu.
2. À voix haute; d’une voix audible.
Kielezi
Exemple
Ne parle pas à voix haute dans la bibliothèque.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi