Mfumo wa nchi kuitawala nchi nyingine.
Nomino
Mfano wa matumizi
Kitabu kilichambua historia ya istimari.
Colonialism; one country’s rule over another.
Nomino
Example
The book analysed the history of colonialism.
Colonialisme; domination d’un pays sur un autre.
Nomino
Exemple
Le livre analysait l’histoire du colonialisme.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi