inukia

0

1. Kua na kupata umbo kubwa zaidi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mugisha ameinukia na kuwa kijana.

2. Anza kurejea katika afya nzuri.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mgonjwa alianza kuinukia baada ya matibabu.

3. Anza kupata mafanikio katika kazi au biashara.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Biashara ya vitabu ilianza kuinukia.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →