Ari ya kutekeleza jambo kwa juhudi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Idili ya wanafunzi ilionekana katika kazi zao.
Diligence; energetic commitment to a task.
Nomino
Example
The pupils’ diligence was evident in their work.
Application; engagement énergique dans une tâche.
Nomino
Exemple
L’application des élèves se voyait dans leurs travaux.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi