Tabia anayojizoesha au aliyo nayo mtu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Ukarimu ulikuwa sehemu ya hulka ya bibi.
Disposition; a person’s habitual character or behaviour.
Nomino
Example
Generosity was part of grandmother’s character.
Caractère; manière habituelle d’agir d’une personne.
Nomino
Exemple
La générosité faisait partie du caractère de grand-mère.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi