hitimu

1

1. Maliza masomo au hatua iliyowekwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Niyonzima alihitimu mafunzo ya ualimu.

2. Kamilisha kujifunza Kurani nzima na fikihu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mwanafunzi alihitimu kisomo cha Kurani chuoni.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →