Weka nia ya kutekeleza jambo.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Nabwire alihirimia kuanzisha maktaba ya kijiji.
Intend; resolve to do something.
Kitenzi
Example
Nabwire intended to establish a village library.
Avoir l’intention; se résoudre à faire une chose.
Kitenzi
Exemple
Nabwire avait l’intention de créer une bibliothèque de village.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi