Kauli ya kumtaka mtu akusikilize.
Kihisishi
Mfano wa matumizi
Hebu! Ulisema mkutano utaanza saa ngapi?
Listen; call for someone’s attention.
Kihisishi
Example
Listen! What time did you say the meeting would start?
Écoute; appel à l’attention de quelqu’un.
Kihisishi
Exemple
Écoute ! À quelle heure as-tu dit que la réunion commencerait ?
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi