he!

0

1. Tamko la kuonyesha kutoridhishwa na jambo.

Kihisishi
Mfano wa matumizi He! Mbona umevunja makubaliano yetu?

2. Mwito wa kumtahadharisha mtu.

Kihisishi
Mfano wa matumizi He! Angalia shimo lililo mbele yako!

3. Kauli ya kuonyesha dharau.

Kihisishi
Mfano wa matumizi He! Huo ndio uhodari unaojisifia?

4. Tamko la kustaajabu jambo.

Kihisishi
Mfano wa matumizi He! Umefika kutoka Juba leo?
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →