harusi

0

1. Sherehe ya kufunga na kusherehekea ndoa.

Nomino
Mfano wa matumizi Harusi ya Nyambura na Mugisha ilifanyika Nakuru.

2. Furaha na hali ya kushangilia.

Nomino
Mfano wa matumizi Habari ya kufaulu ilikuwa harusi nyumbani mwao.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →