halasa

0

1. Malipo ya kazi ya mabaharia.

Nomino
Mfano wa matumizi Mabaharia walipokea halasa zao.

2. Mshahara unaobaki baada ya makato.

Nomino
Mfano wa matumizi Halasa yake ilitosha kwa matumizi ya nyumbani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →