1. Kwa haraka bila kuchelewa.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Njooni halahala, wageni wamefika.
2. Kwa kujihadhari na kutenda kwa uangalifu.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Halahala magari yanayopita.
1. Quickly; without delay.
Kielezi
Example
Come quickly; the visitors have arrived.
2. Carefully; with caution against danger.
Kielezi
Example
Be careful of passing vehicles.
1. Vite; sans tarder.
Kielezi
Exemple
Venez vite, les visiteurs sont arrivés.
2. Prudemment; avec précaution face au danger.
Kielezi
Exemple
Attention aux véhicules qui passent.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi