Maana 1
Upande wa pembe tatu mraba unaokabili pembe ya nyuzi tisini na ambao ni mrefu kuliko pande wengine wawili.
Mfano wa matumizi: Katika pembe tatu mraba, haipotenyusi ni muhimu katika kutumia kanuni ya Pythagoras.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.