Maana 1
Kusamehe kosa, dhambi, au makosa ya mtu bila kumwadhibu au kudai fidia.
Mfano wa matumizi: Mungu humghofiri mwenye kutubu kwa dhati.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.