Maana 1
Kitu chenye bei kubwa au kinachohitaji fedha nyingi ili kipatikane.
Mfano wa matumizi: Samani hizi ni ghali mno kwa watu wa kawaida.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.