1. Kipimo cha urefu sawa na inchi kumi na mbili.
Nomino2. Ukanda wa kupimia urefu.
Nomino3. Goti lililo baina ya paja na sehemu ya chini ya mguu.
Nomino1. Foot; a unit of length equal to twelve inches or 30.48 centimetres.
Nomino2. Measuring tape; a marked strip for measuring length.
Nomino3. Knee; the joint between the thigh and lower leg.
Nomino1. Pied; unité de longueur égale à douze pouces ou 30,48 centimètres.
Nomino2. Mètre ruban; bande graduée servant à mesurer une longueur.
Nomino3. Genou; articulation entre la cuisse et la jambe.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi