1. Kuwa wazi baada ya kufungwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mlango ulifunguka kwa upepo.
2. Legea baada ya kuwa umekaza.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Gidamu za viatu zilifunguka.
1. Open; become unclosed after having been shut.
Kitenzi
Example
The door opened in the wind.
2. Come loose; slacken after being tight.
Kitenzi
Example
The shoelaces came loose.
1. S’ouvrir; devenir ouvert après avoir été fermé.
Kitenzi
Exemple
La porte s’est ouverte sous l’effet du vent.
2. Se desserrer; se relâcher après avoir été serré.
Kitenzi
Exemple
Les lacets se sont desserrés.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi