1. Songamana kwa kuwa karibu sana.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mizigo ilifungamana kwenye ghala.
2. Shirikiana katika jambo la siasa, uchumi au jamii.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Vyama vilifungamana katika mpango wa maendeleo.
1. Crowd together; gather closely in a congested mass.
Kitenzi
Example
The goods were crowded together in the warehouse.
2. Be allied; cooperate in political, economic or social affairs.
Kitenzi
Example
The organisations allied themselves in a development programme.
1. S’entasser; se regrouper très étroitement.
Kitenzi
Exemple
Les marchandises s’entassaient dans l’entrepôt.
2. Être allié; coopérer dans des affaires politiques, économiques ou sociales.
Kitenzi
Exemple
Les organisations se sont alliées dans un programme de développement.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi