fufuma

0

1. Zubaa kwa kupigwa na bumbuwazi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alifufuma aliposikia habari zisizotarajiwa.

2. Jikunyate kwa baridi, maumivu, hofu au unyonge.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Watoto walifufuma kwa baridi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →