fotokopi

0

1. Nakili maandishi au picha kwa mashine.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Katibu alifotokopi barua.

2. Nakala iliyotengenezwa kwa mashine ya kunakili.

Nomino
Mfano wa matumizi Alileta fotokopi ya cheti.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →