fomu

0

1. Karatasi ya maswali au nafasi za kujaza taarifa.

Nomino
Mfano wa matumizi Nabirye alijaza fomu ya kujiunga.

2. Ubao mpana na mrefu wa kukalia usio na kiegemeo.

Nomino
Mfano wa matumizi Wanafunzi waliketi kwenye fomu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →