Jiwe kubwa la kuvunjia mlango wakati wa wizi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Katika riwaya, majambazi waliacha fatuma nje.
Door-breaking stone; a large stone used by burglars to break a door.
Nomino
Example
In the novel, the burglars left the door-breaking stone outside.
Pierre servant à défoncer une porte; grosse pierre utilisée lors d’un cambriolage.
Nomino
Exemple
Dans le roman, les cambrioleurs ont laissé dehors la pierre ayant servi à défoncer la porte.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Neno hili hutumiwa zaidi katika muktadha wa matendo ya uhalifu.