fanikisha

0

1. Timiza jambo lililopangwa au linalohitajika.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kamati ilifanikisha ujenzi wa kisima.

2. Wezesha mtu au jambo kupata mafanikio.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Ushirikiano ulifanikisha maonyesho.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →