Taaluma ya utengenezaji na matumizi ya dawa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Nabirye alichagua kusomea famasia.
Pharmacy; the discipline of preparing and using medicines.
Nomino
Example
Nabirye chose to study pharmacy.
Pharmacie; discipline de la préparation et de l’utilisation des médicaments.
Nomino
Exemple
Nabirye a choisi d’étudier la pharmacie.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi