Sema mazuri ya mtu au kitu; sifu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Watazamaji walifagilia maonyesho.
Praise; speak approvingly of someone or something.
Kitenzi
Example
The spectators praised the performance.
Louer; exprimer son approbation envers une personne ou une chose.
Kitenzi
Exemple
Les spectateurs ont fait l’éloge du spectacle.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Mara nyingi hutumika katika mazungumzo isiyo rasmi na wakati mwingine kuashiria kutopinga jambo kwa sababu fulani.