1. Gawanya kitu kwa kukipasua katika vipande.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Fundi alienga mbao kwa kazi ya ujenzi.
2. Elekeza macho kwenye kitu ili ukione.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mtoto alienga picha ukutani.
1. Split; break something into separate pieces.
Kitenzi
Example
The artisan split timber for construction.
2. Look at; direct the eyes towards something.
Kitenzi
Example
The child looked at the picture on the wall.
1. Fendre; diviser une chose en plusieurs morceaux.
Kitenzi
Exemple
L’artisan a fendu du bois pour la construction.
2. Regarder; diriger les yeux vers quelque chose.
Kitenzi
Exemple
L’enfant a regardé l’image au mur.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi